Jeshi likifanya doria Washington DC, baada ya tukio la uvamizi bungeni
Magari ya jeshi yakionekana kufanya doria katikati ya mji wa Washington, wakati mkuu wa polisi wa Bunge la Marekani anasema idara yake inachunguza ukosoaji mkubwa wa namna walivyokabiliana na uvamizi katika bunge hilo uliofanywa na wafuasi wa Rais Donald Trump.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments