AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mbwana Samatta azidi kuonesha kiwango chake cha kutundika mabao baada ya leo tena kuifungia timu yake ya Fenerbahçe bao moja kati ya matatu iliyopata leo dhidi ya Kayserispor , Kwa sasa Fenerbahce wanashikilia nafasi ya pili katika ligi ya uturiki ikiwa na point 44 ..Hakika Aston Villa Watajuta
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK