AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Msanii Nurdin Bilal Ali anayefahamika kama Shetta, amethibitisha rasmi kuachana na mke wake “Mama Qaillah” katika interview aliyofanya na BongoFive.
Shetta ameeleza ameamua kuachana na mke wake kwa sababu zilizopo nje ya uwezo wake na kueleza kuwa amempa talaka tatu.
Comments za wadau Mitandaoni:
vicent2847: Sasa itakuaj wanaume sisi unamuach mdada pisi kali kama hyu jmn
_benson_hk: Ona hata kichwa chake kilivyo kaa 👀 tulijua hawezi kudumu na yule mrembo 👀
ramso_dcQmmk :hao madem wakali mnaowaacha c mnipe mm nivimbe nao kitaa
_benson_hk: Ona hata kichwa chake kilivyo kaa 👀 tulijua hawezi kudumu na yule mrembo 👀
ramso_dcQmmk :hao madem wakali mnaowaacha c mnipe mm nivimbe nao kitaa
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK