Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Ofisa Habari wa Yanga Afungiwa na TFF, Mbali na Kulipa Faini

 


Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli kutojihusisha na mchezo wa mpira wa miguu ndani Tanzania na nje ya Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu.


Mbali na kulipa faini ya shilingi milioni tano kamati imemkuta na hatia kwa kuichelewesha faini aliotakiwa kulipa.

Taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) imeeleza kuwa mbali na Bumbuli pia Katibu wa Klabu ya Lipuli FC, Julius naye amefungiwa. Taarifa imeeleza namna hii:- Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments