Papa Francis, Papa Benedict Wapewa Chanjo ya Corona

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




KIONGOZI Mkuu wa kanisa Katoliki DUniani, Papa Francis (84) ameepewa dosi ya kwanza ya chanjo virusi vya corona iitwayo Pfizer jijini Vatican jana Jumatano.

 

Papa huyo amepewa kinga hiyo licha ya kuwa na pafu moja baada ya jingine kufanyiwa upasuaji na kuondolewa wakati akiwa mdogo kutokana na matatizo mbalimbali.



Aidha, aliyewahi kuwa kiongozi Mkuu wa kanisa hilo duniani, Papa mstaafu, Emeritus Benedict (93), naye amepewa chanjo hiyo leo ya corona leo ambapo wote wawili wanatarajiwa kupewa tena awamu ya pili ya chanjo hiyo baada ya wiki tatu zijazo.

 

Imeelezwa kuwa, wakati wa utoaji kinga hizo, taratibu zote za kuwalinda wahudumu pamoja na viongozi hao waandamimi wa kanisa sambamba na wasaidizi wao zilikuwa zimezingatiwa.

 

Mpaka sasa, watu 27 wameshathibitishwa kukutwa na Corona jijini Vatican ambapo 11 kati yao ni walinzi (wasaidizi) wa Vatican.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad