Shamsa Ford Kupungua Kilo 25 kwa Ajili ya Mpenzi Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Ni 'headlines' za staa wa filamu na mfanyabiashara Shamsa Ford ambaye amesema mipango yake ya mwaka huu 2021 ni kuwa na muonekano mpya ambapo amepanga kupunguza mwili ili mpenzi wake asije kumuona shangazi.


Shamsa Ford amesema anataka kufanya mazoezi na diet kwa wingi ili kupungua kilo 25 ambazo zitamsaidia kwenye afya yake na muonekano wake.


"Nime-miss kaumbo kangu, huu mwaka ni mazoezi sana na diet, nataka kukata kilo 25 na nitaweza kwa ajili ya afya yangu  pia kwa ajili ya 'my honey'  nisije nikaonekana shangazi yake bure, 2021 muonekano mpya" ameandika Shamsa Ford


Staa mwingine aliyetawala kuhusu muonekano wake ni Wema Sepetu baada ya kupunguza shepu ya mwili wake hadi kufikia kilo 65 kutoka 95.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad