Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Steve Nyerere Amkumbuka MR Nice "Alitupa Mimi na Ray Kigosi Milioni Moja Tukale"

 


Steve Nyerere akumbuka fadhila za Mr.Nice


"Huyu anaitwa MR NICE uyu jamaa kabla mabaunsa hawajaanza kushika kasi basi Mimi pia nilikuwa ni mmoja wa mabaunsa wake lakini katika kazi ya ubaunsa kwake siku zote tulikuwa watu wa kupigwa tuuuuuu,


Hatujawahi kutoka usiku kwenda sehemu tukatoka bila kupigwa hatujawahi .Nakumbuka siku moja tuna njaaaa sana tupo mimi na ray kigosi mchana unapita kwa nyimbo nikasema dogo twende kwa mr nice ,


Tukala boda sinza nyuma nyuma mpaka kwa mr nice Gonga geti afungui gongaaaaaaaaa weeee afungui gongaaaa wapi tukaona isiwe tabu ray akanibeba mabegani kuruka ukuta puuuuu ndani basi kuingia ndani nikamfungilia mwenzangu bwana ray kumbe tajiri Mr nice alikuwa hajaamka badaye kuamka akasema mmeingiaje kwangu tukamwambia tumeruka bosi.


Akamwita mlinzi hawa wameingiaje mlinzi akasema mimi mwenyewe nashangaaa , Akatuuliza shida yenu tukamwambia mkuuu njaaaa


Akamuita ray akamwambia nendeni ATM katoe Milioni tu alafu nirudishie kadi yangu ..hatukuamini njia nzima tunaimba kikulacho , Mr nice asante brooooo MUNGU AKUBARIKI SANA ASANTE SANA"

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments