Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

TANZIA: Msanii wa Bongofleva C Pwaa afariki DuniaMsanii wa Bongofleva Ilunga Khalifa maarufu C Pwaa amefariki Dunia Alfajiri ya leo akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Kwa mujibu wa Ndugu wa karibu wa C Pwaa amethibitisha kuwa Pwaa alikuwa anaugua Pneumonia na alifikishwa Hospitali kwa matibabu, hali yake haikuwa njema hadi umauti unamkuta.


Enzi za uhai wake C Pwaa alifanya vizuri akiwa na kundi la Park Lane pamoja na Suma Lee ambapo walitoa ngoma kama Nafasi Nyingine na Aisha, na baadaye alitoa ngoma zake nje ya kundi zikiwemo Action, Problem, So Pwaa, Six in the Morning nk.

Sikiliza Wimbo Hapo Chini Rosa Ree Aliyofanya na Waimbaji Undergroud, Ni Noma Diamond Ampa Big Up:

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments