Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

DC Ole Sabaya: TRA kusanyeji kodi kwa haki, wafanyabiashara msitumie risiti moja kusafirisha mizingo mingi

 
Mkuu wa Wilaya ya Hai @lengai_ole_sabaya amewataka wafanyabiashara wa Wilaya hiyo kulipa kodi na kuhakikisha hawapindishi hawatotumia risiti moja kusafirishia mzigo zaidi ya mmoja.

Mkuu huyo wa Wilaya Ole Sabaya pia amewataka TRA kuwa waaminifu katika suala zima la ukusanyaji wa kodi kwa haki huku akiwaambia Wafanyabiashara ili malalamiko yao yawe na uhalali ni lazima waangalie namna wanavyofanya biashara kabla ya kuwaalika Viongozi na wanasiasa kuimba nyimbo zao za ugumu wa biashara huku wakiwa hawaambii uhalisia wa namna zinavyotumika njia za mkato kukwepa kodi na kuikosesha Serikali mapato ambayo yangeenda kusaidia Taifa.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments