Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Harmonize Afunguka Alichokuwa Anakikosa kwa Sarah na Sasa Anakipata kwa Kajala

 


Harmonize afunguka alichokuwa anakikosa kwa Sarah na sasa anakipata kwa Kajala

 
harmonize ameandika haya: 

Nilikuambia Lakini Dada WINNIE FRIDA @kajalafrida Hizi Mambo Za Kuamshana Mapema Supu Ya Samaki Sijuwi Breakfast Mimi Sijazoea Ona Sasa Kitambi Ndo Hicho ....!!!! Mie nimetokea Geto Tunapigaga Mlo 1 Tena Saa 10:30 Yani Mchana Kidogo Jioni Kidogo Tunaitaga (PASI NDEFU ) Maji Mengi....!!!! WAUNI CHUPA LIPO KWENYE BIO HAPO ...!!! 🏁🏁 FT @anjella_tz

 
Kajala Akamjibu Hivi:
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Breakfast is the most important meal so utazoea tuπŸ˜‚πŸ˜‚

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments