Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Jay Melody: Nilijiona mkubwa kwenye muziki wetu baada ya wasanii wakubwa wa Kenya na nchi jirani kuomba niwaandikie nyimbo

 
Nilianza kujiona hata mimi ni mkubwa kwenye huu muziki wetu wa Bongo Fleva baada ya wasanii wa mataifa jirani kama Kenya na mengi kuomba niwaandikie nyimbo tena wasanii wakubwa haswa.Mwanzo nilitaka kutaka Tamaa baada ya kuona kama hakuna ninachofanya maana sioni matunda yake mafanikio siyaoni ila baada ya kuanza kupokea simu za wasanii wa Nje kuomba niwaandikie nyimbo hapo ndio nilipoanza kujiona mkubwa”  Jay Melody

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments