Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kanye West 'Mimi Kutaka Urais wa Marekani Ndio Kisa Cha Kim Kardashian Kutaka Tuachane'


Kanye West anaamini sababu za Kim Kardashian kudai talaka ni kutokana na yeye kuutaka Urais wa Marekani mwaka 2020. Juzi Ijumaa (Feb. 19) Kim K aliwasilisha mahakamani ombi la talaka kutaka kuachana na Kanye.


Baada ya tamko hilo, Kanye alianza kuwatumia watu ujumbe mfupi na wengine kuwapigia simu akizungumzia ishu hiyo. Umeripoti mtandao wa PEOPLE. Malalamiko yake makubwa yamekuwa kwenye majuto, moja wapo likiwa la kuwania Urais wa Marekani kwa sababu Kim hakuliafiki.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments