Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mange Kimambi " Aisee Hii Kesi ya Paula na Kajala Naomba Niachane Nayo Kuanzia Sasa Hivi Nimesikia Upande wa Kajala Nimeweka Mikono Juu"

 Mange Ameandika Haya:

Aisee hii kesi naomba niachane nayo kuanzia sasa hivi.

Nimesikiliza na upande wa Kajala, nimeweka mikono juu 🙌🙌, acha wamalizane wenyewe. Ngoja mi nirudi kulea watoto.

Siko upande wa mtu, kwa hili itabidi nimaind my own business tu, haina budi.

Natamani niwahadisie niliyoyajua mpaka dakika hii yani nawashwaaaaa kuwaambia ila nikama ntakuwa namdhalilisha mtoto zaidi. Ila dah 🤦🏽‍♀️

Nimechukua uamuzi huu wa kutokuwa upande wa mtu kama mama. All in all mi naomba tusichukue any sides in this case. Tuwaaombee tu wayamalize kifamilia maana yakienda mbali yatakuwa makubwa' Mange Kimambi

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments