Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mwanafunzi Afariki Baada ya Kupigwa Kichwani na Mwalimu


KENYA 

Katika Shule ya Msingi ya Gitithia Mwanafunzi aliyetambulika kwa jina moja la Wambui ameooteza maisha huku chanzo kikidaiwa alipigwa kichwani na Mwalimu wakati akinawa mikono nje ya darasa


Mama yake, Elizabeth Wanjiku amesema Wambui alilalamika kuhusu maumivu makali ya kichwa wakati aliporudi kutoka Shule, baadaye jioni alipomuuliza alisema alipigwa na Mwalimu


Familia imesema matokeo ya upasuaji yalionesha Mtoto wao alipoteza maisha kutokana na majereha aliyopata baada ya kugongwa na kifaa butu kichwani. Mwalimu Mkuu amesema uchunguzi umeanza na kuwataka Wazazi kuwa na subira.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments