Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wachezaji Mpira 8 Wafariki Dunia Katika Ajali ya Basi

 
Guinea:

Wachezaji nane wa timu ya Etoile de Guinee wamefariki dunia katika ajali ya basi na wengine 17 wamejeruhiwa


Ajali hiyo imetokea nje kidogo ya Mji wa Mamou wakati timu hiyo inaelekea Mjini Kankan kucheza mechi yao ya kwanza tangu kuanza kwa msimu


Taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo hazijawekwa wazi, lakini imeripotiwa kuwa, majeruhi walio na hali mbaya watasafirishwa hadi Conakry, Mji mkuu wa nchi hiyo


Hii ni ajali ya pili kugharimu maisha ya wachezaji mpira nchini Guinea. Wachezaji wawili pamoja na Dereva walipoteza maisha timu ya Wakirya AC ilipopata ajali Desemba mwaka jana

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments