Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Watatu washikiliwa na polisi kwa mauaji ya wanawake Arusha

 


Jeshi la polisi mkoani Arusha limewakama mtandao wa watuhumiwa watatu wa mauaji ya matukio ya wanawake mkoani Arusha ambayo yamekuwa yakifanyika mara kwa mara.

Akizungumza na waandishi wa Kamanda wa polisi mkoani Arusha,Salum Hamduni amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Mbise Sanare Lekumo(30) mkazi wa Olasiti ,Lembeka Olomorojo(65) mkazi wa Osunyai na mganga wa kienyeji Bashiri Msuya (64)mkazi wa mtaa wa Kirika B kata ya Osunyai jijini Arusha.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments