Adakwa na laini 56 za simu, 28 zimesajiliwa kwa jina moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kibaha.  Mkazi mmoja wa Mlandizi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kukutwa na laini 74 za kampuni mbalimbali za simu huku 56 zikidaiwa kutumika katika matukio ya utapeli na wizi.


Akizungumza leo Alhamisi Machi 11, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa amesema mtuhumiwa huyo mbali na kukutwa na laini hizo, 18 zimesajiliwa kwa jina moja la Mosses Cosmas.



“Fikiria kuna Mtanzania  mmoja anamiliki laini 18 amesajili kwa jina moja na ametumia kitambulisho cha Nida (cha uraia). Huu ni uhalifu mkubwa anaweza akatumia laini moja kutukana mtu, akatumia nyingine kufanya uhalifu," amesema Nyigesa.


Amesema wanawasiliana na moja ya kampuni za simu ili kujua sababu za mtuhumiwa kuwa na laini nyingi ya kampuni hiyo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad