Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Atakachofanya Rais Samia Suluhu leo


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Machi 28, 2021 atapokea taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka wa fedha 2019/2020.


Pamoja na hiyo pia atapokea taarifa ya TAKUKURU ya 2019/2020, hafla hiyo itafanyika Ikulu Chamwino Dodoma kuanzia saa 4:00 Asubuhi.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments