Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Balozi wa Marekani ampongeza Rais Samia
Kufuatiwa Kifo cha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk, John Magufuli, Viongozi mbalimbali wameendelea kutumia kurasa zao za mitandao ya Kijamii kumpongeza Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.


Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Donald J Wright, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa

Pia balozi Wright ametakia kila la heri Rais Samia anapoanza Uongozi wake kwa kuliongoza Taifa katika kipindi kigumu.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments