Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wadau Mtandaoni Wadai Baba Levo Asimamishwe Kazi na Wasafi , Kisa Kumkashifu Hamisa Mobetto

 
Unaambiwa Wadau huko Mtandaoni Wadai Baba Levo Asimamishwe Kazi na Wasafi , Kisa Kumkashifu Hamisa Mobetto, Baba Levo alisikika akisema kuwa kama Fred Vunja Bei Akizaa na Hamisa basi Atazaa mbwa au Mtoto asiye na akiliconniecanny: He must apologise publicly as he said those words publicly

official_josh_adeyey: Twendeni kwenye page ya wasaf tukacoment kwamba babalevo hafai.. na hawez kua kioo cha jamii

 

mstee___: Inabidi aombee radhi kakosea sana,unajua ujasiri wa kitunza kiumbe tumboni na hujui umebeba kiumbe cha aina gani si mchezo alafu jitu lije kukwambia utazaa mbwa,hata Akizaa tahira si wake ,katukosea wanawake wote tu japo hajatutaja majina...naomba kuwasilisha

nurusaid_kisuto: Hyo yupo kwa ajil ya kuwatia hasara wasaf😂😂😂😂😂

nyanjigeone: Yaani kanikela jibwa lenyewe

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments