Waganga wa Shinyanga wauwa fisi 11 Geita

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale  mkoani Geita, imeendesha operesheni kupitia waganga wa jadi kutoka Shinyanga na kufanikiwa kuwaua fisi 11.



Hatua hiyo imekuja ikiwa ni wiki mbili baada ya fisi kuuwa watoto watatu na kujeruhi watu zaidi ya wanane.


Pia wameweka mpango wa kuanza operesheni kwa ajili ya kuwasaka fisi wanaofugwa majumbani.


Mkuu wa Wilaya hiyo Wilson Shimo amesema waliamua kutumia waganga wa jadi kusaka fisi hao, kwa sababu wanahusushwa na imani za kishirikina.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad