Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Waziri Mkuu wa Ivory Coast Afariki DuniaHamed Bakayoko amefariki dunia Jumatano, Machi 10, 2021, akiwa katika Freiburg nchini Ujerumani ambako alikuwa akipatiwa matibabu kutokana na ugonjwa wa kansa.

 

Rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara amesema wataanza kuomboleza kuanzia leo hii.Kifo chake kinajiri baada ya siku mbili zilizopita kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 56.

 

“Taifa linaomboleza kifo chake.” alisema Alassane Ouattara kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments