Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Diamond: Wimbo wa Waah uliingiza milioni 89 baada ya kufikisha viewers milioni 32

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREBaada ya kutoa somo kuhusu mauzo ya muziki katika ukurasa wake wa instagram, @diamondplatnumz ameonyesha mfano wa mafanikio na mauzo ya wimbo wake wa #Waah ambao amemshirikisha @koffiolomide_officiel

#DiamondPlatnumz amefanikiwa kuingiza kiasi cha Tsh.milioni 89.8 kupitia wimbo wake huo aliomshirikisha #KoffiOlomide kwa miezi 2 ilipofikisha views milioni 30 katika mtandao wa YouTube

Hadi sasa ngoma hii ina jumla watazamaji zaidi ya milioni 60 katika mtandao wa #Youtube kwa muda wa miezi 4.

 

Post a Comment

0 Comments