Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mwijaku: Nilimshauri Harmonize aache ushirikina awaachie wao amrudie Mungu mwezi mtukufuAkiongea na wana habari Mwijaku ameeleza kuwa kuna kundi la watu wenye wivu na mafanikio ya Harmonize kila siku wanatafuta namna ya kutengeneza habari mbaya ili kumharibia mipango yake.

Ameongeza kuwa amemshauri Harmonize mwezi huu wa Ramadhani aache ushirikina amrudie Mungu kwa ajili ya maombi, huku akitanambaisha kuwa kwa sasa lebo za muziki Tanzania ni mbili tu @kondegang chini ya Harmonize na @kingsmusicrecords chini ya Alikiba zile zingine ni vikundi vya wahuni.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments