Ticker

6/recent/ticker-posts
.

TANZIA: Rapper DMX afariki dunia akiwa na miaka 50

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Ikiwa ni siku kadhaa baada ya Rapper wa Marekani DMX kuripotiwa kuji overdose na madawa ya kulevya.


Taarifa za muda huu ni kwamba amefariki leo Hospitalini jijini New York, Rapper huyo amefariki leo akiwa na umri wa miaka 50.

Post a Comment

0 Comments