4/03/2021

Unaambiwa Kajala Ameachana na Harmonize, Kisa PaulaKajala adaiwa kumtimua Harmonize nyumbani kwake, aidha, amefuta picha zote alizokuwa nae na kumu-unfollow Harmonize. Kwa mujibu wa habari mitandaoni inadaiwa Kajala alianza kugundua mwenendo usio mzuri kwa Harmonize kuanza kumtongoza mwanae na kumtumia mapichapicha yasiyoeleweka, hali ambayo ilimshtua mama na mwanae ambao wote ni maarufu hivyo Kajala kuamua kumtimua Harmonize
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger