Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wasanii Kuweka Maudhui Youtube Bila Kulipa Ada ya Leseni TCRAWizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wamekubaliana kubadilisha Kanuni ili wasanii na wenye maudhui ambayo sio Habari waweze kurusha kazi bila kufanya usajili na malipo kwa TCRA

Hayo yamebainishwa na Dkt. Hassan Abbasi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ambapo amesema kuna tofauti kubwa sana kati ya Habari na Sanaa, hivyo wataboresha kanuni

Amesema wasanii wanapaswa kufanya kazi zao bure, na kuanzia sasa wasanii wa muziki au filamu hawatalipia chaneli zao za YouTube


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments