.

5/28/2021

CCM yachukizwa na kitendo kilichofanywa na Catherine Magige, Wenzake Arusha
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesema kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa  Jumuiya ya Umoja wa Wanawake(UWT) Mkoa wa Arusha wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalum  Catherine Magige.

Kimesema kwamba CCM inaamini katika kujenga uimara wa familia, kuheshimiana ndani ya jamii na kuendeleza upendo katika familia halali, badala ya mivutano na uvurugaji usiokuwa na sababu.

Taarifa iliyotolewa leo Mei 28,2021 na Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka imesema Chama hicho kinatafakari kwa undani kwa mujibu wa kanuni za maadili na Katiba ya CCM

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger