.

5/30/2021

Mashabiki Wamtaka Rosa Ree Ajiunge na WCB , Mjadala Huu WaibukanYoutube Wimbo Wake Mpya I'm not Sorry


Mashabiki wa Mziki wa Rosa Ree Wamtaka Ajiunge na WCB, Wadai Mziki Wake Utapenya Duniani Kirahisi

Mjadala umeibuka huko youtube kwenye Wimbo mpya wa Rosa Ree Unaitwa "I'm not Sorry" Baada ya baadhi ya mashabiki kumtaka ajiunge na WCB kuwa mziki wake utafika mbali zaidi

Nimekuwekea baadhi ya Comments hapa chini kutoka Youtube:

Planta Media "nani anaamini huyu angekuwa kati ya WCB au Konde gang Angekuwa hakamatiki"

Ombeni ruvubika "Wcb sawa ,Nawala hapana cha konde Gang  Na Hakuna label pale, ni vurugu tuu"

Khannie Baraka "WCB tosha konde ni heri ache mziki"

Daniel Mwakaseka "Wasafi ndo angefika mbali mno colabo na Nick Minaj angeifanya pale"

Kennedy Sabatho "Mawazo kama yangu always nilikuwa natamani aweko huko kiukweli angekuwa juu sana zaid hata ya  Zuchuu songs zake ni internationally"

VINZAH ZION ENTERTAINMENT "Si huyu dem aende WCB"

Oscar Smart Bandah "Kusanyeni wcb Wote hawez fika kwa rap hii labda OG 254"

MELODY MIKE "One thing i love about Rosa , everything about her is just outstanding and she doesn't fake , she stays true to herself ,to be honest she's just untouchable more love from Kenya"

Roy "This lady needs some vibrant marketing in her team, great talent. She needs to start sweeping them awards!"

Sylvia Njambi Mwangi "Rosa Ree you deserve an oscar you spoke out man... Thank you for being a voice"

Tazama Wimbo Wenyewe Hapa:
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger