Yanga waugomea muda ulipangwa na TFF, sisi tutapeleka timu saa 11 na sio saa moja

advertise hereBaada ya mchezo wa Simba na Yanga kupelekwa mbele klabu ya Yanga imesikitishwa na taarifa hizo na kudai kwamba wao watapeleka timu muda wa mwanzo ambao ni saa 11 na sio saa moja kwani kanuni zinasema taarifa itolewa masaa 24 kabla ya mchezo.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE