Zamaradi Amnyooshea Rosa Ree Mikono Juu "Rosa Ree Nimeshindwa Kuvumilia Wewe ni Level Ingine"


Zamaradi Ameandika Haya Kuhusu Rosa Ree baada ya kutazama nyimbo yake mpya ya Im Not Sorry:

Reposted from @zamaradimketema Katika Hazina kubwa Chache tulizonazo kwenye Industry ya Mziki nadhani hii ni MOJA KUBWA.... Creativity yako ni kubwa mno, Uwezo wako ni wa level nyingine kabsaaa, mdogo wangu I SALUTE YOU @rosa_ree nimeshindwa kuvumilia, kukusifia nyumanyuma itakuwa roho mbaya acha niseme wazi tu, na hii ni katika pitapita leo nimekutana na Intro ya ngoma yako ya I AM NOT SORRY, nikasema hebu niingie kwenye Bio yako niangalie.. nilichokutana nacho acha nikupe heshima yako, Wewe ni Level nyingine!!! SALUTE SALUTE SALUTE šŸ™ŒšŸ‘ŠšŸ‘ŠšŸ‘Š

VIDEO:

Tazama Wimbo Wenyewe Hapa:

 

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE