Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Amuua mke wake kwa kumtenganisha kichwa na kiwiliwili, adakwa na polisi akitaka kujiua

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma wanamshikilia Nehemia Mohamed Kabuto Muha miaka 40 amemuua mke wake kwa kumkata mpanga mke wake aitwaye Adela Ndihagati mwenye umri wa miaka 40 kwa kutenganisha kiwiliwili na viungo vingine.Akiongea Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma ACP James Manyama ameeleza kuwa Chanzo kikielezwa kuwa ni Wivu wa mapenzi na baada ya kuwaona Polisi aliamua kujichinja kwa kitu chenye ncha kali ingawa Polisi waliwahi na kukdaka akiwa bada hajajimalizia hivyo yupo Hospitali na akipona anapelekwa mahakamani.


Post a Comment

0 Comments