Herbinder Seth Kuachiwa HURU Baada ya Kukiri MakosaMkurugenzi wa Mashtaka #Tanzania, Sylvester Mwakitalu amesema Mtendaji wa PAP, Herbinder Seth amekiri makosa ya Uhujumu Uchumi na kukubali kulipa faini

DPP Amesema endapo Seth atakamilisha taratibu alizopewa ikiwemo kulipa faini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itamuachia huru

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad