Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

King Mswati Anaeowaga Wanawake Wenye BIKIRA tu Aikimbia Nchi Yake


Viongozi wa maandamano ya umma ambayo yamedumu kwa siku 3 wametangaza kuwa Mfalme Mswati III ameikimbia nchi na sasa amejificha nchini Afrika Kusini. Waandamanaji wanataka mabadiliko ikiwemo kuruhusu siasa za vyama vingi, na wananchi kuchagua Waziri Mkuu

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments