Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Maskini Steve Nyerere Akosa Ukuu wa Wilaya...Juma Lokole Amuombea Steve Nyerere cheo

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Mtangazaji Juma Lokole amuombea Steve Nyerere cheo ni baada ya jana Rais Samia Kutangaza Safu mpya ya wakuu wa wiliya ambayo pia ilijumuisha baadhi ya wasanii kama Nikki wa Pili na Wengine

Lakini Jina la Steve Nyerere halikuwepo japo amekitumikia Chama kwa Muda Mrefu, Sasa Mtangazaji Juma Lokole ameibuka na Kumuombea mazuri, Soma Hapo Chini Alichoandika
Post a Comment

0 Comments