AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nyota Klabu ya PSG ya Ufaransa, Mauro Icardi na mkewe Wanda Icardi wametembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa ajili ya mapumziko.
Kamishna msaidizi mwandamizi mawasiliano wa Hifadhi za Taifa (TANAPA), Pascal Shelutete amesema kuwa Mwanamichezo huyo wa Timu ya Taifa Argentina amefika nchini na mkewe ambaye pia ni wakala wake kwenye masuala ya mpira.
"Icardi na mkewe wako nchini kwa mapumziko katika Hifadhi ya Serengeti," amesema Shelutete
Tazama picha
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK