Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mwigulu, Tarimba Wadhamini Wapya Yanga

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Klabu ya Yanga leo Juni 27, 2021 wamewapitishwa Baraza jipya la Wadhamini la timu hiyo katika Mkutano Mkuu wa kwenye ukumbi wa DYCC, uliopo Zimbabwe Road, Temeke mkabala na Chuo cha Ualimu pamoja na Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam.

1️⃣George Mkuchika – Waziri Ofisi ya Rais Ikulu,Kazi Maalum

2️⃣Geofrey Mwambe – Waziri wa Uwekezaji

3️⃣Abass Tarimba – Mbunge wa Kinondoni

4️⃣Mama Fatma Karume – Mke wa Rais wa Kwanza Zanzibar

5️⃣Mwigulu Nchemba – Waziri wa Fedha


Post a Comment

0 Comments