Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Rais Samia "Hakuna Chombo Cha Habari Kitakachofungiwa Mkifuata Heshima na Adabu za Kiafrika"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Rais Samia amesema ana taarifa kuwa Magazetui yaliyofungiwa yameshamaliza muda wa adhabu zake hivyo yapatiwe Leseni na yaendelea na shughuli zake

Amesema kama Vyombo vitafuta heshima za kiafrika hakuna chombo kitakachofungiwa huku akiwataka waendelea kukosoa kwa staha wakizingatia Heshima na Adabu za Kafrika

Post a Comment

0 Comments