Rais Samia: Sina uwezo wa kuhesabu matofali kama hayati Magufuli, nawategemea muwe jicho languRais Suluhu Hassan amesema Hayati Dkt. John Magufuli alipoenda kukagua miradi alikuwa anahesabu matofali na bati kubaini ubadhirifu
Amesema yeye sio mtu wa 'Construction Engineering' hivyo hana uwezo wa kuhesabu matofali, na anawategemea wateule wake kumsaidia kazi hiyo. Amesema yeye amezoea mambo ya Kiuchumi kuangalia ‘Graphs'

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE