Ticker

6/recent/ticker-posts
.

TANZIA: Mtangazaji Mkongwe Nchini Tanzania Fredwaa amefariki Dunia

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE#TANZIA: Mtangazaji Mkongwe Nchini Tanzania, Fred Fidelis maarufu kama #Fredwaa amefariki dunia leo Juni 12 Jijini Dar Es Salaam

Taarifa za Awali Zinaeleza kuwa #Fredwaa amefariki Dunia baada ya kupata ajali eneo la Kawe Jijini Dar es Salaam

Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa Taarifa zaidi

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi, Amin

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments