Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Chidi Benz: Tumefanya Vanessa Kauchukia Muziki

Ni maoni ya msanii wa HipHop, Chidi Benz ‘King Kong’ kuhusu suala la Vanessa Mdee kutangaza kuachana na masuala ya muziki ambapo anadai watanzania ndio wamemfanya msanii huyo kuuchukia muziki.

 

Chidi Benz ametoa comment yake hiyo kupitia page yake ya Instagram baada ya kumpost Vanessa Mdee kisha kuandika; “Sema Tanzania nayo, from no where tumefanya my sister Vannesa Mdee kauchukia muziki, Ilikua tunahitaji sana vitu kutoka sauti ile, sijui wengineo.”

 

Siku za hivi karibuni msanii huyo wa HipHop amekuwa akitoa maoni na mitazamo kadhaa kwenye ukurasa wake wa Instagram kuhusu masuala mbalimbali ya muziki, wasanii na tuzo.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments