Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Karia, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Bodi ya Wadhamini ya TFF wafikishwa mahakami

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imepokea kesi ya kupinga uchaguzi wa Shirikisho wa Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na imemtaka Rais wake Wallace Karia, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Bodi ya Wadhamini ya Shirikisho hilo kufika Mahakamani hapo kujibu hoja za kwanini uchaguzi wa TFF usisimamishwe, wito huu ni wa kesho Ijumaa saa 3 asubuhi.

Post a Comment

0 Comments