.

7/31/2021

Kauli ya Manara baada ya Mo Dewji kutoa bilioni 20 SimbaKupitia maelezo yake aliyoweka kwenye mtandano wa Instagram Haji Manara ameandika kuwa “Nikisoma baadhi ya Comments zenu toka jana mnauliza Bughatti Mbona husemi kitu kuhusu billioni 20, ndugu zangu kama kuna Muumini namba moja aliyeshiriki kuwashawishi wanasimba wakubali juu ya muundo huu mpya ni mimi”


“Nilizodolewa sana, nikatusiwa sana na nikagombana na wengi kuhusu uwekezaji huu, iweje nisiunge mkono jambo lenye maslahi kwa Simba na mpira wetu kwa ujumla”
“Na niwaambie jana ni siku kubwa kwangu kwa sababu nililotaka na kulipigania limekuwa, nitaunga mkono kila jitihada za kuifanya Simba iwe kubwa zaidi na zaidi na Insha’Allah wiki hii nitaongea nanyi kuwashukuru“
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger