Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Rosa Ree Awashukia Wasanii Wapenda Kiki "Nasikitika Sanaa Yetu imekua ya Kiki Kiki, u Team na Kununua Views"


Reposted from @rosa_ree TUNAHITAJI KUAMKA‼️ WASANII TUAMKENI‼️Im so emotional today kwa sababu Nina upendo sanaaaa na wasanii wenzangu pamoja na sanaa yetu kiujumla.....
Sanaa yetu imekua ya kiki kiki, u team, kununua views na maswala mengine ambayo hata hayahusu sanaa tena! Msanii kama mwana sanaa na mfanya biashara unatakiwa uzingatie “PRODUCT” unayompa “CUSTOMER” wako..... mlaji ni shabiki, wewe ni mpishi sasa kwanini umpe mlaji sanaa mavi ikiwa imepakwa asali ( ambayo ni kiki, u team n.k) kwa juu Alafu umlazimishe shabiki ale ulichopakua.... tunaweka focus yetu kwa the wrong things guys Na ndo maana wenzetu wanatuacha nyuma sana! SIJAWAHI KUSKIA KIKI YA BURNA BOY ila sahivi ana Grammy na tuzo nyingine nyingi na HESHIMA Juu yake! Anaiheshimisha mpaka nchi yake! Sisi tunaheshimisha nchi yetu kwa haya makiki? Tunaiheshimisha nchi yetu kwa huu uteam? Tunaiheshimisha nchi yetu kwa sijui kununua views youtube?🤦🏽‍♀️ Guys, WAKE UP‼️ AMKENI‼️ Tukifanya sanaa legit, sanaa ambayo ni sanaa pure tutafika tunapotaka.... ila kama sanaaa yetu ingekua ni nguo au viatu Basi me ningesema Ni MDOSHO wa kutupa! Kinavalika lakini ni FAKE sana! Na bei yake ni CHE! Ndo maana wasanii wengi wanakua na very short term achievements, na wengine wanapata majina na ZERO money 🥴 Ila ukinunua kitu original mwenyewe unajua kabisa lazima mfuko utoboke! Na hautalalamika..... Angalia nchi zingine wanavyo Faidika kupitia sanaa. Mtu anapata Faida na heshima juu! Nimekutana na watu kadhaa wa nchi za nje, wanatucheka tu! But we are too shallow to see... INASIKITISHA SANA! You’ll get your 15seconds of fame then you’ll become a laughing stock! 🤷🏽‍♀️ ANYHUUUUU, I hope you take this message positively so it can help you grow.... PEACE & LOVE❤️

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

1 Comments

Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)