.

8/16/2021

Azam FC yamtambulisha Jonas Tiboroha kuwa Mkurugenzi wa mpira
UONGOZI wa  Azam FC leo Agosti 16 umemtambulisha Mkurugenzi wa mpira, Jonas Tiboroha.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, katika ukumbi wa mikutano ulipo Mzizima, Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdukarim Amin amesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kuzidi kujiimarisha katika kila sekta kwa kumpa dili la mwaka mmoja.

"Kwa muda mrefu wengi wamekuwa wakimtambua CEO peke yake pamoja na watendaji wengine lakini leo tunamtambulisha kwenu Mkurugenzi wa Masuala ya Mpira.

"Kazi kubwa ni kuona namna gani tunawez kuwa imara na kuzidi kuboresha timu yetu kwa sababu anakuja kufanya katika kuyafikia," amesema.

Tiboroha amesema kuwa amekubali kufanya kazi hapo kwa kuwa ni moja ya timu bora na yenye mipango makini.

"Nimekubali kuja kufanya kazi hapa kwa kuwa ni moja ya timu bora, kazi ambayo nakuja kuifanya  ipo kwenye mpango kazi," .

 
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger