.

8/02/2021

Diamond Platnumz Awafunda Wasanii wa Bongo "Kutolisoma Soko Ndio Kunawafanya Msitoboe Kimataifa"

Kutoka Kwenye Insta Story Ya #SIMBA @diamondplatnumz Amepost Clip Ya Wimbo Ambao Amefanya Na Producer @masterkraft_ Pamoja @2niteflavour Unaoitwa #ABEKE Wimbo Ambao Upo Kwenye Album Ya Producer Huyo Kutoka Nchini NIGERIA, #SIMBA Kwenye Insta Story Hiyo Ametoa Ushauri Wake Ambao Kwa Mujibu Wake Anaamini Ndio Kinacho sababisha Muziki Wa Baadhi Ya Wasanii (BONGO) Wasivuke Nje Ya Mipaka.
-
-
Kwenye Insta Stiry Yake #SIMBA Ameandika.......... "Kutolisoma Soko Na Kuthubutu Ndio Kunawafanya Vijana Wengi Kushindwa Kuvuka Kimataifa Na Kuishia Kuimba Miziki Ileile Na Kubakia Pale Wakihofia Kwamba Wakiimba Muziki Nyumbani Watu Hawatoipenda Na Watatukanwa, Pasipo Kujua Kuwa Kuna Baadhi Ya Miziki Wanatakiwa Kuachia Kwaajili Ya Kutagert Soko Fulani Ili Kuongeza Mashabiki Na Soko Jipya Na Sio Kwaajili Ya Kuwaridhisha Watu Wa Nyumbani Kuna Somo Kwenye #ABEKE''HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger