.

8/25/2021

Kinachoendelea kwenye afya ya Jose ChameleoneKwa mara ya kwanza baada ya kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi msanii Jose Chameleon amemshukuru mama yake kwa kumpambania na kumuonyesha upendo katika kipindi.

Jose Chameleon ametoa ujumbe huo kwa mama yake kupitia page yake ya Instagram baada ya kushea picha akiwa amelala Hospitalini kwa kuandika maneno yafuatayo.

"Ahsante Mama, upendo wako uko dhahiri, hujawahi kukata tamaa juu ya ukweli, nitakua na nguvu ya kujifunza kutoka kwako. Mungu akujalie uzima zaidi"

Siku ya Jumapili zilitoka taarifa za kulazwa kwa muda wa wiki moja kwa msanii huyo ambaye anasumbuliwa na tatizo la ini na kongosho.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger