Ticker

6/recent/ticker-posts

Kumekucha.. Ronaldo Anukia Mancheter United

KIBAO kimegeuka, Manchester United wanajiandaa kupeleka ofa rasmi kwa ajili ya kumsajili nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo.

Awali ilionekana kama Ronaldo anaelekea Ettihad lakini kwa sasa Man city wamejitoa katika mbio kumuania staa huyo.

Manchester City wamejitoa kwenye mbio za kumsajili Cristiano Ronaldo na sasa kazi imebaki kwa Manchester United kukamilisha dili hilo.

kwa mujibu wa mwandishi nguli wa habari za usajili Fabrizio Romano taarifa zinasema United wanaandaa mkataba ambao watamkabidhi wakala wa Ronaldo, Jorge Mendes kwa ajili ya kuupitia kabla ya Ronaldo.Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments