.

8/12/2021

Mkojani Atoboa Siri "Nikishikwa Chuchu Napiga Yowee"Mchekeshaji @mkojani_bin_daruweshi ametusanua ni sehemu gani huwa akiguswa na mkewe wakati wa tendo huwa anatoa ukelele kama chizi lililokula ganja😂.

Ni ngumu kuamini ila mkojani bana akiguswa chuchu tu uyoe unamtoka balaa😂,hili ameliongea akiwa kwenye Lavidavi la Diva,Wasafi Fm.

Pia mkojani amedai huwa wanabadilisha shuka mara kwa mara sababu usiku una mambo mengi sio tendo tu,kuna kulala ukajikuta umetokwa udenda hadi sio vizuri shuka likachafuka.😂.

Mjomba ana Comedy hadi kwenye real life. Kwani wewe ukiguswa wapi unasisimkwa

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger