.

8/12/2021

Mose Iyobo Amfananisha Ruby na Rihanna

 


Mose Iyobo amemfananisha mpenzi wake mpya Ruby na Rihanna baada ya siku kadhaa tu kupita tangu waingie kwenye mahusiano ambayo yanatafsiriwa kama ni kisasi kwa mahusiano yao yaliyopita.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Iyobo amemjaza sifa kibao Ruby huku akimkumbusha kuwa asiende kwa mganga.

“Badgalriri shetani aliniwekea vikwazo vingi ila now kashindwa, pray yourself usiende kwa mganga tunguli huisha nguvu” – ameandika Mose Iyobo

Ikumbukwe kuwa Iyobo aliwahikuwa kwenye mahusiano na mzazi mwenza Aunty Ezekiel ambaye hivi sasa yupo na msanii wa Bongo Fleva Kusah ambaye ni Baba wa mtoto wa pili wa Aunty lakini pia aliwahi kuzama kwenye penzi nzito kwa mzazi mwenza Ruby

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger